Mwanamziki anayefanya vizuri kupitia ngoma yake ya Dear Gambe alifanya na Belle 9 hapa bongo anayejulikana kama Young Killer Super Nyota kuptia akanti yake ya matanado wa kijamii  facebook amewaambia mashabiki wake kuhusu akanti ambayo inatumia jina lake na inatumika vibaya kwa kutongoza wanawake na kuwaomba watu fedha na vingine vingi na hichi ndicho alicho kiandika 







Na hi indo muonekano wa Akanti hiyo isiyo julikana ni yani inayo tumika vibaya kazi kwako wewe shabiki wa Young Killer usije kutapeliwa 



Post a Comment

 
Top