Mwanamziki wa RnB amabaye anafanya vzuri sana kwenye gemu la muziki wa bongo fleva Bernard Paul anayejulikana zaid kama Ben Pol ambae bado anendelea kutikisa vema kwenye tasnia hii ya muziki wa bongofleva, sasa kwa habari zilizoko ni kwamba anatarajia kuachia album yake hivi karibuni.

Ben Pol kwa sasa yupo katika hatua ya mwisho ya kuikamilisha album hiyo ambayo itakuwa na mchanganyiko wa nyimbo za zamani na mpya ambazo bado hazijasikika kabisa.

Album hiyo amabyo itaitwa ''Ben Pol Love CD'' ambayo ataiachia Album hiyo mwisho mwa mwezi huu kama wewe ni shabiki mkubwa wa ben pol basi hii inakuhusu.

Post a Comment

 
Top