ikiwa imepita wiki moja tu tangu picha za muonekana mpya wa Bob jr kusambaa, akiwa amepaka rangi nywele hasa hasa kwenye kiduku, leo hii pia amanitumia picha za muonekana wake mpya kwa mara nyingine tena akiwa amekata nywele zote. sijui inawezekana akawa anaanza kupitia process ya kukua au ndugu wamemshauri hivyo maana bado anaendelea kupiga show zake  nchi ambayo baba yake na wadogo zake wanaishi. leo hii Jr yupo Denmark, kesho atakuwa Norways kwenye show ambayo alitakiwa kupiga Ommy Dimpoz na baada ya hapo ataelekea Swizerland siku ya jumapili na kukamilisha show zake zote. 


Post a Comment

 
Top