Napenda kumshukuru MUNGU
Siku ya Jana Tarehe 28march Niliwasili  Majira ya Mchana
KAHAMA Na Crew yangu Nzima
ya Wasafi.....
 Zifuatazao ni Picha Kadha za Mapokezi Yangu Jana Mchana maeneo kadhaa
ya Wilaya ya KAHAMA.....Much Love kwa Maelfu ya wananchi walioacha
Kazi zao Kwa Ujumla  kuja kunipokea Rais wa Wasafi....






Nikipeana mikono na mashabiki zangu waliojitokeza kunipokea....!!











Nikiongea na Mashabiki wangu.....Si unajua tena Rais kafika kutiii
Kiu zao....!!


Post a Comment

 
Top