Director pia mmiliki wa kampuni ya Nisher Entertainment yenye makao yake jijini arusha akijulikana kama Nisher hivi karibuni kupitia ukurasa wake wa facebook aliachia picha ambayo inaonyesha yuko mbioni kuachia single yake mpya ambayo itakwenda kwa jina la ''I'm Single''.
Ambapo track hiyo kwa mujibu wake mwenyewe itakuwa tayari ndani ya mwishoni mwa mwezi huu yaani tarehe 31 March.
Mashabiki wa Nisher basi tukae mkao wa kula kukisubiria kichupa hicho kipya kutoka kwa Director Nisher.

Endelea kutembelea blog hii na utakuwa  kwanza kuipata track hiyo hapa.

Post a Comment

 
Top