Kutoka mtandao wa kijamii wa Twitter marappper wawili wanaofanya vizuri kwenye gemu ya yamuziki wa bongo fleva Stamina na Quick rocka wachia picha zinazowaonyesha wakiwa studio na Msanii mwingine anayejulikana kama Young Killer ambaye anafanya vizuri na ngoma yake ya Dear Gambe alifanya na Msanii kutoka Morogoro Belle 9,Ngoma hiyo itakaruka hewani kwa jina la Jana na Leo ingawa kutoka kwa ngoma hiyo haijajulikana ni lini ambapo ngoma hiyo inafanyiwa chini ya mkono wa Producer monagaanstar kutoka studio za classic sound.Basi endelea kuwa nasi utaipata hapa kupitia blog hii  

Post a Comment

 1. Thank you fοr sοmе other excellеnt ρoѕt.
  The plaсe else coulԁ anyone get thаt
  type of іnfοrmаtion in such an ideаl methoԁ οf
  ωriting? I have а pгesentatіon next week, аnd ӏ'm on the look for such information.

  Feel free to visit my web-site payday loans

  ReplyDelete

 
Top