Mwanaziki kutoka kundi la wanaume family Chege Chigunda ama Mtoto wa mama saidi amabaye anafanya vizuri na kwenye ngoma yake ya Uswazi Take Away.

Mpya kutoka kwake ni kuwa Chege sasa yuko mbioni kuachia video ya ngoma hiyo alio mshirikisha mwanadada Malaika ambapo video hiyo itasimamiwa na  mtengenezaji  ama Director Adam Juma kutoka Visual Lab: Next Level.

Basi endelea kutembelea blog yetuu na utapata hapa soon itakapo kuwa imetoka.


Post a Comment

 
Top