WASAFIIIIIIIIIIII.......!!

Nikiwa na Dancers wangu From Left Rama Mpauka,Emma Platnum,Dumi Utamu
& I Myself The President.....
Rama Mpauka,Emma Platnum & Dumi Utamu...!!
Taratibu Nikikianzisha.......
Yanii.....Kama watoto wakinililia....??? wambie Kesho Nini....??!
Siwasiki KAHAMA MPOOOOO.....???!!




Amsha Amsha si ndo Ikanipa Mizuka Kucheza na Mashabiki....!!

KAHAMA Yote Sema YEEEEeeeAAAaaahhhhhh......!!









Perfoming Kizai zai...!!





Hisia unipeleka Mbali Sana......Ufanya mi kuwa chizi kwenye stage!



Mizuka ya Kimanyema si ndo Ikapanda.....Ni Kukiamsha Mpaka
waseme hiki nini....moto ulele...!!




YEEEEaaaaaaAAAhh.....!!

KAHAMA....Tuendele Ama Tusiendeleeeeeee.........????










Tumehelewana wana wa Kahama.....??? 

Mi ni Mzawa kama Osama Sitishiki kwa Bomu la Utambi......
mwendo ule ule.....
Mi nataka kesho........Twende wapi.....?? Nimewaelewa.....!!


Kulewa Kulewa......hiiiiii yaniii Tukilewa wote na wananchi wa kahama..!





Mguu wa Shingo,Mguu wa Roho Afe kipa afe Beki....lakini
Ushindi Lazima..... Aghaaaa....!!





Post a Comment

 
Top