WASAFIIIIII....
Safari ilianzia hotelini kuelekea Ukumbini.....

Hali ilikuwa hivi kabla ya Mimi kupanda Jukwani.....!!

Pole Pole...Nilianza kukinukisha na Askari wangu....
kwenye Stage....!!
Mapedeshe wa Geita nao awakuwa Nyuma......!!




Mafia Mnyama...On the one N two...!!






one of my favourite picture kwenye show hii...















Eti Nani Amenuna.....? Nani Amenuna??

this wan called "Afe kipa afe beki lakini ushindi Lazima!!!"
Wotee....woteee..... Nimpende Nani...? Nimpemndee?
Geita...Nauliza....??

Aaaah kulewa...Kulewa....!!


dah! hakika palikua hata pakueka mguu hakuna... yani 
kadri muda ulivyozidi ndio ukumbi ulizidi kuwa mdogo
 jinsi watu walivyojaa


Put your F**k***n  Hands on the AIR......!!
duh! si ilikuwa kidogo tu zichapwe baada ya raia kuona wanakosa
 huondo pindi wakitaka kupanda stage na
 Security wanawazuia...

Aaaghaa....

Kwa Michezo wa Kuringa Ringa ndio huwa wanadata.....Badilika usiwe mjinga...??
malizia wewe sasa.....!!
Aghaaaa Kidogo.......!!
Dumy & Emma....!!
Baada ya Show Vijana walidondoka Club pembeni ya hotel
na kujirusha kiaina...!

Dumy Utamu & Mafia Mnyama....!!
 

Post a Comment

 
Top