Movie Staa wa Bongo anayejulikana kama  Jack Pentezel ama Jack wa chuz amewashtusha wengi baada ya Kuamua kubadili dini kuwa Muislamu kisha kuolewa na Mpenzi wake wa Muda anayejulikna kama Gadner Dibibi. Watu wengine wakiwamo wadau wa tansia hii ya Bongo movie na wapenzi wa Bongo Movie wamekuwa wakihoji juu ya Ndoa Hiyo iliofungwa kisiri sana na kwa haraka.Wote hatuna majibu ila tunawatakia familia ya bwana na bibi Gardner Dibibi kila kheri na Mungu awashushie rehema zake.

Post a Comment

 
Top