Rapper Chidi Benz, amempiga Rapper Ngwea nje ya Ambassador Lounge iliyoko Mkapa tower, posta, usiku wa kuamkia leo.ugomvi huo ulitokea baada ya Chid benz kumzingua Dully kwa alipokua akiingia, ambapo mwisho wake aliamua kuondoka. 



Alipoondoka Dully pale Nyumbani Lounge Rapper Ngwea akamua kumuliza Chid benz inakuaje anamzingua kubwa lao, ndipo Chid alipopaniki na kuanza kutoa lugha chafu huku akitaka kutokumsikiliza Ngwea, inasemekana Ngwea aliamua kukaa kimya lakini Chid aliendelea kungea kwa hasara na kusema "ndio nimemzingua kwani yeye nani" na kumbadilikia Ngwea ambae pia aliamua kuachana nae na kurudi ndani kwenye ukumbi lakin baada ya muda tu alimpiga na chupa Rapper ngwear.

Post a Comment

 
Top