Biahara zote zilisimama
kwa muda katika
stendi kuu ya mabasi ya
Bomet nchini kenya wikiendi hii
baada ya kundi
kubwa la wanaume
kumvamia mwanamke mmoja
aliyekuwa amevaa kingua
kifupi na kisha
kumvua huku wengine
wakimchezea nyeti zake…..
Mwanamke huyo
ambaye inadaiwa alienda katika
stendi hiyo kufanya
booking ya basi,alikutwa
na kisanga hicho
baada ya kuvamiwa
na kundi kubwa
la wapiga debe
na vibaka ambao
walianza kwa kumzomea
na kumrushia makopo
ya maji……
Kwa mujibu wa
shuhuda wa tukio
hilo,sakata hilo lilichukua
takribani dakika 15
za kumzomea na kumtukana
wakiwa wamemzunguka kabla
ya kumvua nguo
zake…..
“Walimzomea
na kumtukana vibaya
huku wakiwa wamemzingira.Juhudi za wanawake
wasamaria wema kumuokoa
zilikwama kwa kuwa
kundi lilikuwa kubwa
na wao walikuwa
wanaogopa kufanyiwa hivyo”…Alisema shuhuda
huyo
Mbali na shuhuda
huyo,Bwana Sang naye
analielezea tukio hilo
kwa kudai kuwa
ile sketi ilikuwa
ni zaidi ya
fupi na pia
ilikuwa nyepesi na ndani
ndani hakuwa na
kitu, hali iliyosababisha wapiga
debe hao wamvae
na kumvua…..
Bwana Sang anadai
kuwa kesi nyingi
za ubakaji zimekuwa
zikisababishwa na wanawake
wenyewe kutokana na
mavazi yao wanayoyavaa….
Baada ya tukio
hilo kupamba moto, polisi
walifika japo walichelewa
na hatimaye kufanikiwa
kumwokea mrembo huo
mikononi mwa vibaka
hao….
Kutokana na tukio
hilo,shirika la maendeleo
ya wanawake limelaani
vibaya tukio hilo
na kuahidi kuchukua
hatua kali zaidi
endapo udhalilishaji huo
utaendelea na kufumbiwa
macho….
Post a Comment