Msanii anayefanya vizuri anayejulikana kama Stereo mpya kutka kwake ni kwamba  anatarajia kuachia ngoma yake mpya ambayo ameshirikiana na mwanamuziki kutoka Kenya, Amani.
Ngoma hiyo itaruka hewani kwa jina la ''KILA KITU'', ikiwa imefanywa ndani ya studio za Bongo Records chini ya Producer P-Funk Majani.

Endelea kuwa nasi utaipata ngooma hii hapa.



Post a Comment

 
Top