Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa mwanadada Kim Kardishian Ray J amabe hiv karibuni ameachia ngoma yake mpya ambayo ameipatia jina ‘I hit it first’ kazi ambayo moja kwa moja inaonekana inamuhusu Mpenzi wake huyo Kim Kardishian.

Kim pamoja na Ray Jwaliwahi kuwa na uhusiano kipindi cha nyuma na hadi kufikia hatua ya kurekodi picha wakifanya ‘mambo ya kwenye video’, kitu ambacho pengine pia, ndio sababu kubwa jamaa ameamua kukumbushia kuwa… licha ya kwamba mume mtarajiwa wa Kim anayejulikana kama Kanye West ndio anafaidi na amepanda mbegu kwa sasa, mimi ndio niliona na kuonja wa kwanza  .

Sasa Ray J akaamua kwenda mbali na kutengeneza project cover art ambayo ina picha ya Kim ya zamani ambayo pixel zake zime-twistiwa’ kimtindo.

Ndani ya song hili pia, Kuna lines ambazo moja kwa moja zinamlenga Kim na historia yake ya kuchange lovers, Cheki hapa.


She might move on to rappers and ballplayers
But we all know I hit it first.

I had her head going North and her ass going South
But now baby chose to go West

No matter where she goes or who she knows
She still belongs in my bed.

Kwa sasa pia inaelezwa kuwa, Ray J yuko na mbioni za kutengeneza video ya pini hili akiwa na video model ambaye anafanana kabisa na Kim lakini bado haijathibitika rasmi.’

Post a Comment

 
Top