Mwanadada Jacklyne Wolper, “WolperGambe anayefanya vizuri
sana kwenye gemu ya bongo movie hivi sasa huenda akawa ana-roll na mshkaji mmoja
anaitwa “Rammy Galis”ambaye pia ni muigizaji na utakuwa ushamuona kwenye movie
ya “Malaika” akiwa na Rose Ndauka na Seth Bosco.Habari zaidi zinasema wawili
hawa nyendo zao hawa
“might-be-bird-lover” wakirushana my bebe my lova kwenye mitandao ya kijamii.
Cheki hapo chini jamaa ka-post picha la Wolper na caption za My bebe!!. Kwa
wakati huo huo Wolper naye akatupia picha ya jamaa lakini akapiga kimya bila
caption. Kuna uhusiano mzuri tu kati ya hawa wawili, kama ni baba na mama basi
heri, kama ni kaka na dada basi bariiiiida vilevile.Hatutaki kumuuliza hata
mmoja kati yao kuhusu ukweli juu ya mahusiano yao kwasababu jibu litakuwa
lilelile tu kama kawaida ya watu maarufu.
Post a Comment