3zainab-Sheriff-Big-Brother-Africa-2012
Baada ya kuiwakilisha vyema Sierra Leone kwenye shindano la Big Brother Africa Star game edition, Zainab O. Sherriff amekuwa mshiriki anaetajwa kuliko wote na vyombo vya habari nchini humo.
zainabu 2
Imeelezwa kwamba mrembo huyo ameshafanya pilot ya reality show yake inyotaraji kuanza hivi karibuni na huenda akatua mjini Nollywood wakati wowote kushoot movie yake mpya na Jim Iyke.
ZAINAB


Hata hivyo uvumi umesambaa kuwa picha zilizo sambaa kwenye mtandao huenda ikawa ni matangazo ya kampuni ya the Indigenous Beads of Africa ya nchini Kenya ambayo inataka kufanya kazi na bidada huyo kwa donge nono.
CHANZO BAABKUBWA

Post a Comment

 
Top