169503c8527a11e28ed022000a1fbc58_7


ca0f0be2528411e2a76e22000a9f1968_7


d1480bdc527c11e2b7d622000a1f968a_7



Kundi la muziki kutoka nchin Nigeria ambalo linaundwa na Peter na Paul wanaojulikana kama P-Square hivi sasa wako kwenye mpango wa kununua ndege yao binafsi ambapo mpaka sasa wako kwenye makubaliano na kampuni ya ndege ambayo huwapa ndege pindi wanapohitaji kusafiri iwe ni kwenye show au matembezi yao binafsi lakini kwa sasa wanataka kumiliki yao binafsi.

Post a Comment

 
Top