MARK ZUCKERBERG BUYS 700 ACRE PLOT IN HAWAII

Mmiliki wa mtandao wa kijamii mkubwa zaidi dunia wa Facebook Mark Zuckerberg amenunua shamba la Acre 700 kwa dola za kiamrekani Million 100 sawa na 168,000,000,000 za kitanzania kwa ajili ya kujenga nyumba yake na familia yake kwa baada,ambapo alinunua eneo hilo lilipo visiwa vya Huwaii,huku ndani ya kiwanja hicho atajenga nyumba yake yakuishi pamoja na vitu kama swimming pool beach pia amezungumza juu ya kuweka shamba ndani ya eneo japo hakutaja kuwa nataka kulima nini,na hizi ni baadhi ya picha jinsi eneolinavyoonekana 

 MARK ZUCKERBERG BUYS 700 ACRE PLOT IN HAWAII

 MARK ZUCKERBERG BUYS 700 ACRE PLOT IN HAWAII

 MARK ZUCKERBERG BUYS 700 ACRE PLOT IN HAWAII

 MARK ZUCKERBERG BUYS 700 ACRE PLOT IN HAWAII

Post a Comment

Top