Usiku wa kuamkia leo Decemba 19 mjini Kampala ndio ilipokuwa ikifanyika ile party ya Zari AllWhite CirocParty ambapo ilifanyika katika moja ya kumbi za starehe jijini kampala na kwa mujibu wa mmiliki wa hotel hiyo amesema siku ya jana watu walijaa mpaka wengine wakashindwa kuingia, hizi ni baadhi ya picha kutoka huko ambazo mtandao wa sammisago.com umeripoti







 


Photo Credit sammisago.com

Post a Comment

 
Top