Khloe Kardashian and Lamar


Baada ya kutengana kwa zaidi ya mwaka, Staa Khloe pamoja na mumewe Lamar bado hawaja maliza swala la talaka ambayo inasimamiwa na mwanasheria wao.Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Khloe hajafanikiwa kumpata mumewe Lamar inaonekana kama Lamar anamkimbia mkewe


Mchezaji huyo wa Basketbal amekuwa hapokei simu za mpenzi wake Khloe na amekuwa akionekana kwenye umati mkubwa wa watu mara chache sana ambapo kamera ya TMZ ilimnasa mara ya mwisho wiki tatu zilizopita katika jiji la  Los Angels

Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri staa Lamar aliwahi kusema kwamba hakuwa kumshawisha mkewe Khloe kuhusiana na swala la talaka yao ili waachana kimojaa

Lakini Khole ataki kuelewa anataka talaka ili aachane na mumewe moja kwa moja, baadhi ya marafiki zake waliwahi kujaribu kuwakutanisha Khole na Lamar ili wamalize matatizo yao lakin ikawa ngumu.

Post a Comment

 
Top