December 19 mwaka huu ndio ilikuwa ile show ya Zari huko Uganda na mgeni alikuwa Diamond Platnumz ambapo siku hiyo kulikuwa kuna vibwanga vingi kimoja ni hichi cha Zari kupigwa busu live mbele ya kadamnasi ya watu huko Uganda, hapa hakuna swali tena ni wapenzi kitu kimekuwa comfirmed kabisa picha zingine hapa chini enjoy 

 



  


 


Acha denda ziendelee jamani lol 

Post a Comment

 
Top