Mtangazaji Diva The Bwase kutoka Clouds fm ambaye pia ana mahusianino ya kimapenzi na msanii wa King Crazy Gk kupitia kaunti yake ya instagram anaachia picha kali na kufanya mashabiki zake kutirika ya moyoni kutokana na picha zake ambazo zinawaacha watu hoi kutokana na sura na umbo lake alivyo, nimekukusanyoa hizi picha tatu ambazo ndizo zinazoongoza kwa comment nyingi na like kwenye akaunti yake







 


Kweli ameumbika kila la kheri Diva The Bwase 

Post a Comment

 
Top