Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 ambaye ni mkazi wa San Francisco ameonyesha ubunifu wa hali ya juu baada ya kuacha ndevu zake kwa muda zaidi ya miaka miwil na kuzitengeneza kwa style tofauti na kujizolea umarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii  cnimekulete picha zaka akiwa katika mitindo tofauti ya kuachia ndevu zake 

Ndevu zikizidi sana zinakuwa uchafu lakini



 


  



 



 



 


 


 


 



 



 



 


 



  



Post a Comment

 
Top