Kim Kardashian




Supe Staa Kim K ambaye kwa sasa ameolewa na rapper Kanye West ambaye wana mtoto mmoja,mitandao ya marekani imetoa list ya wanaume ambayo msanii huyu alishawahi kulala nao na kutoa penzi kwa wanaume wote kwa mujibu mitandao ya marekani Kany west ni mwanaume wa ishirini na mbili kutembea na staa huyo Kim K hii ndio list ya wanaume wengine aliyowahi kuwa nao staa huyo ambapo alianza kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi mwaka 1994


TJ Jackson (1994-1998)

Damon Thomas ( 2000-2004)

Julian St. Jox (2001)

Ray J (2002-2003)

Nick Lachey (2006)

Nick Cannon (September 2006- January 2007)

Reggie Bush (2006 hapa akiwa na mahausiano na Nick lakini bado alikuwa kaichepuka)

Fonzworth Bentley (2006-February 2007)

Evan Ross (May 2007)

Christiano Ronaldo (April 2010)

Shengo Deane (April 2010)

Miles Austin (June 2010)

Michael Copon (October 2010)

Jon Mayer (October 2010)

Gabriel Aubrey (November 2010)

Kris Humphries (2010-2013)

Kanye West (2007 ndipo Kanye West akachukua mzigo) Unaambiwa list haikusihia hapo kuna watu kama rapper 50cent, The Game, Brett Lockett, Scot Storch ambao waliwahi kutembea na staa huyo na kuwapa utamu wanaume wote hao

Duuh sasa Kanye hapo kaoa msichana ama kaowa M*l*y na Kanye sijui kama atakuwa wa mwisho 

Post a Comment

 
Top