Kundi la muziki wa kizazi kipya Bongo fleva waliowahi kuhit na nyimbo kama kibabaa Makomando wameachia nyimbo yao mpya kabisa inayokwenda kwa jina la Vigelegele iko hapa chini link kutoka Audiomack nyimbo haina matangazo hii 

                                             







Post a Comment

 
Top