Baada ya story kuzaa kwamba Cristiano Ronaldo pamoja na mpenzi wake Irina Shayk imevunjika sasa kwenye Twittter Irina ame Unfollower aliyekuwa mpenzi wake Cristiano Rolnaldo.

Irina mwenye umri wa miaka 29 mwenye asili kutoka Russia akiwa anafanya shughuli zake za umodel, ambaye amekuwa akidate na mchezaji wa zamani wa Man united kwa zaidi ya Takribani miaka minne Cristiano Ronaldo

Hizi hapa chini ni picha za Irina alivyokuwa mrembo sasa






Post a Comment

 
Top