Mwanaume mmoja mkazi wa South Africa amefanya kitendo cha Kinyama baada ya kumwekea mkewe super glue sehemu za siri kwa madai kuwa alifanya hivyo ili kulipiza kisasi kwa mkewe aliyekuwa akiendekeza michepuko nje ya ndoa yao. 


mwanamke apigwa supa glu sehemu za seri kisa wivu wa mapenzi


Mwanamke huyo mwenye miaka 40 alikuwa na uhusiano wa mapenzi na Miomba wake ambapo mumewe alipata taarifa siku moja walipokuwa matembezini  South Africa.
Mjomba huyo mwenye miaka 45 alimlazimisha mwanamke kucheza uchi mbele yake huku akiwa kamnyooshea kisu huku akimtishia kukata kuchwa chake kama asingefanya kama alivyo amriwa na hizi ni moja ya kauli zake akitoa ushuhuda kituo cha polisi

 “He had previously tried to cut my hand off so I was terrified.
“He ordered me to lie down and open my legs and then took out super glue and applied it to my vagina.
“I had tears streaming down my face and was begging him to stop, but he didn’t seem to care.
“I do not know what would make a man who loves a woman do that to her.”

Mwanamke huyu baada ya kuwewa Super Glue alijaribu kuondoa lakini alishindwa na hii inamaanisha kuwa hawweza kufanya mapenzi tena mpaka kufanya kwake mbaya zaidi hata nyumbani hataki kwenda kutokana na kumwogopa mumewe

 “I wanted to press charges but he fled and has not been seen since the incident.I am scared that he might come back anytime and remove my head.”

Post a Comment

 
Top