Msanii Wizkid Ayo kutoka Nigeria ambaye kwa sasa anadate na girlfriend wake mpya ajulikanaye kama Tania Omotayo mwenye asili ya kiarabu cha Dubai kama alivya msanii wa Filamu Nadia 


Wizkid’s Boo, Tania Omotayo


Weekend hii blogs nyingi za Nigeria zilipamba kwa kuachia picha za Mpenzi wa Wizkid akiwa ndani ya Bikini kama ujuavyo maswala ya Beach nimekuwekea hapa picha zake titirika nazo 



Wizkid’s Boo, Tania Omotayo


Wizkid’s Boo, Tania Omotayo

Is She Blessed.????

Post a Comment

 
Top