Mchungaji Ambilikile Masapile ‘Babu Ambi’ wa Samunge, Loliondo, Arusha, atapanda kizimbani kukabili kesi za madai na jinai, hii ni kwa mujibu wa wakili maarufu, Mabere Nyaucho Marando.
Wakili huyo alisema, endapo mahakama itamkuta na hatia ya kutenda jinai, Babu Ambi, anaweza kuhukumiwa kifungo kisichopungua miaka saba jela.
Marando alisema, kesi ya jinai ambayo Babu Ambi anafunguliwa ni ile ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kwamba aliwahadaa watu kuwa dawa yake inatibu, wakati hakuna mtumiaji aliyepona.
Aliongeza kuwa kesi ya madai, inafunguliwa kwa sababu anatakiwa alipe fidia za watu waliopoteza maisha na wote waliosafiri kutokana sehemu mbalimbali wakitumia gharama kubwa kwa dawa isiyotibu.
Marando alifafanua,

Post a Comment

  1. msamehen labda maisha yalikuwa magumu

    ReplyDelete
  2. nanyi kwa nini mlienda bila kufikiri mara mbilimbili, ni jinsi gani watanzania tunapenda vitu vya kuletewa tu, na mkimfunga mnamuonea kwani ni watu wangapi huwa wanawadanganya watu, mfano waganga wa kienyeji?

    ReplyDelete

 
Top