Baadhi ya wasani pamoja na ndugu wa karibu wa marehemu Steven Kanumba wakitoa heshima za mwisho
Hapa ndipo mwili wa marehemu ulipopumzika.
Watu wakiaanda sehemu ya kumzika marehemu Steven Charles Kanumba pemben ni Vicent Kigosi
Baadhi ya watu wakipenya katika uzio wa viwanja vya leaders 
Watu wakitoka kuelekea makaburini kinondoni
Ulinzi nao uliimarisha kwa vikosi vya polisi pamoja na mbwa
Hili ndilo gari lilobeba mwili wa marehemu Steven Kanumba
 Mh. Joseph Mbilinyi akitoa heshima za mwisho
Jukwaa pale kiwanjani leaders
Mwili wa marehemu ulipofikishwa makaburini
 Steve Nyerere akikabidhi msalaba
Cloud akiwa kabeba mwili wa marehemu Steven Kanumba

Wasani na baadhi ya watu wakibeba mwili wa marehemu
Mlela na Hemed 
WAEMA SEPETU akiwa amezimia
Seleiman Kova akitoa heshima za mwisho
 Kwaya zikiendelea kutumbuiza kwa nyimbo za maombolezo
Wema akiwa amebebwa baada ya kuzimia 
Hapa mwili wa marehemu ukiwa unafikishwa kaburini

Post a Comment

 
Top