Producer mkongwe nchini Tzee anayejulikana kama P_funk Majani awajia juu wasanii na baadhi ya wadau kuto kudhamini mchango wake katika mziki wa kizazi kipya.

Hayo aliyasema baada ya kupokea tuzo ya producer ya muandaji bora wa muziki ambazo zimetolewa na Baabkubwa Magazine...

Aidha aliongeza kuwa "Bila ya mimi Bongo fleva isingekuwepo ila watoto wa siku hizi hawatambui mchango wangu hawajui nimeupigania vipi mpaka ukafika hapa ulipo"

KAZI KWENU WASANII WA BONGO FLEVA

Pogsgdv

Post a Comment

 
Top