Msanii anayefanya vema kunako anga ya muziki pande za USA Justin Bieber amesema anataka kurudiana na mpenzi wake wa zamani anayejulikana kwa jina la Selena Gomez.
Justin amekana kuwa na mahusiano na mwanamitindo Victory Secret na kuongeza kuwa hafikiri kuwa na mahusiano na msichana mwingine kwa sasa......

Post a Comment