Taarifa zilizopo wakati
huu ni kuhusu kuzama kwa Jahazi liitwalo Sunrise iliyokuwa ikotokea Tanga kulekea visiwani Zanzibar likiwa na
abiria 32 ambapo limezama kwenye lile eneo la Nungwi ambalo ni hatari siku
zote.
Hii ni kauli yay a kamanda wa polisi visiwan Zanzibar
“tayari tumeshapokea watu 21 waliookolewa wakiwa wazima na hakuna maiti
iliyopatikana mpaka sasa hivi, waliokuwemo kwenye chombo ni watu 32 hivyo watu
bado watu 11 hawajulikani walipo”
Post a Comment