Msanii Elizabeth Micheal aka Lulu akitoka katika Mahakama Kuu ya kanda ya Dar es salaam baada ya msajili wamahakama kuu kutokewepo ofisini na hivyo Lulu kurudishwa rumande had siku ya kesho tarehe 29/1/2013 atakapoletwa kwa jaili ya kutimiza masharti ya dhamana ikiwa ni pamoja na kuwasili shati ya kusafiria,kutoko safari nje ya dar es saalam bila ya ruhusa,kuripot kwa msajili kila tarehe 1 ya kila mwezi pia kuwa na wadhamin wawili ambao ni watumishi wa serikali ambapo kila kila moja atatoa shilingi mill 20 kila mmoja
Aidhaa famila yake inasema wako tayari kutimiza masharti hayo
Hapo Elizabeth Micheal akitoka katika majengo ya mahakama kuu ya kanda ya dar es salaam
Lulu akiwa anapanda gari tayari kwa kurudishwa rumde tena
Post a Comment