Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayejulikana kama Amazon amedhibibitisha kujitoa katika kundi la Watanashati Entertaiment baada ya bosi wake anayejulikana kana Hustadh Juma Na Musoma kutaka kumpa mkataba wa milele kitu ambacho Amazon alikiona kama lilikuwa na lengo la kummaliza kimziki.
Aidha mwanamziki huyu ameongeza kuwa ameondoka Watanashati kiroho safi na kusema kwa sasa atakuwa akifanya mziki peke yake mpaka pale atakapo pata meneja wa kusimamia kazi zake........
Post a Comment