Hizi ni baadhi ya picha zinazo onyesha jinsi dada
zetu wanao uza miili yao katika nchi za
wenzetu kama kutoka barani Afrika kwa
lebgo la kujikimu na maisha lakini badala yake imekuwa taabu na mateso angalia
picha hizi alafu maoni yako muhimu sana
mdau wa blog hii
Source Gumzo jiji
mbona hamjasema wapi nchi gani? mbona hapo panaonekana km Africa tu, acheni kuandika habari za uongo tafuteni habari kamili, nchi za nje hakuna mtu anaruhusiwa kulala maporini kama hizo picha zinavyoonyesha wana homeless shelter bana acheni uongo
ReplyDeleteNi ushamba tu unakusumbua, we hata huoni kwamba watu walikua kwenye adventure, wamefanya mtoko, ndo maana wakapiga na picha. We wa wapi
ReplyDelete