Mwanamziki wa kizazi kipya anayejulikana kama Linex hiv
karibuni alimvisha mpenzi wake pete ya uchumba wakiwa wawili tu,mchumba wake
huyo mwenye asili ya Finland anayejulikana kwa jina moja tu la Suvi.
Linex amechukua uamuzi wa kufanya kitendo hicho kwa siri
kwa sababu ameona haikuwahusu watu wengi wajue maana ni kitu ambacho kinawahusu
wao wawili.
Post a Comment