Mwanaziki kutoka kundi la wanaume family Chege Chigunda
ama Mtoto wa mama saidi amabaye anafanya vizuri na kwenye ngoma yake ya Uswazi
Take Away.
Mpya kutoka kwake ni kuwa Chege sasa yuko mbioni kuachia
video ya ngoma hiyo alio mshirikisha mwanadada Malaika ambapo video hiyo
itasimamiwa na mtengenezaji ama Director Adam Juma kutoka Visual Lab: Next
Level.
Basi endelea kutembelea blog yetuu na utapata hapa soon
itakapo kuwa imetoka.
Post a Comment