Mwanamziki anayefanya vizuri kwenye mziki wa bongo fleva
anayejulikana kama Diamond Plutinumz azuzishiwa kumtapeli meneja wake.
Habari kamili kutoka kwa Raqey Mohammed ambae
alijitambulisha kama Meneja wa Diamond aliweka picha kupitia ukurasa wake wa
instagram ikionyesha gazeti likiandika habari za uzushi zikisema kuwa Diamond
Amdhulumu Meneja Wake.
Raqey aliandika zaidi kulionesha gazeti hilo kutokuwa
makini na habari zake na kwamba angalau lingemtafuta ili kujua ukweli ya yale
yaliyoyaandika.
Na hiki ndicho alicho kiandika meneja huyo Meneja wa
Diamond Platnumz:
Post a Comment