Kupitia ukurasa wake wa "Facebook" Master J ameandika ujumbe huu pamoja na picha ya Ommy Dimpoz na J Martin wakiwa MJ records.

"Leo MJ Records tuko na AY. Anafanya collabo na msanii wa Nigeria J Martins. Hapa J Martins anabadilishana mawazo na Ommy Dimpoz. Sijui wanapanga nini, tusikilizie".

Haikuishia hapo tu pia mwanamziki kutoka  Nigeria anayefanya vizuri kwenye anga ya muziki ambaye alishuka bongo siku mbili zilizopita J Martins ameonekana ku-tweet picha ambayo inamuonesha akiwa ndani ya Booth katika Studio ya MJ Record.
Picha hizi zinaonyesha  AY, MwanaFA na Ommy Dimpoz wako huko pia kufanya kitu katika studio hiyo...

Pia kwa upande wa Mwana FA ameonekana kuweka picha katika moja ya mtandao wake wa kijamii anaotumia amayo inauonyesha akiwa na  J Martins huku akiandika, " J Martins featured on FA&AY 

"Bila Kukunja Goti... Tunawaua hawaponi..."
Hii inathibitisha kuwa these dudes are all in the studio cooking some... ITS A #STUDIOFLOW Ninjas... wakiwa na producer mkali kutoka studio hiyo... Marco Chali...




Post a Comment

  1. Hellο еѵeгyboԁу, hеre eveгy one is sharing thesе knoωledgе, therefore it's pleasant to read this weblog, and I used to pay a visit this weblog all the time.

    Here is my page - instant cash loans

    ReplyDelete
  2. Ι am regular readеr, how are yοu eѵеrybody?
    This pаragraрh poѕted аt thiѕ web pagе
    is аctually pleasant.

    mу site; payday loans no credit check

    ReplyDelete
  3. Appreciаte this poѕt. Let mе try it out.



    Tаκe a lοok at my wеblog; payday loan

    ReplyDelete

 
Top