Wasanii wanaofanya vizuri kwenye gemu la muziki kutoka pande za Nigeria
wanajulikama P_squre leo kupitia mtandao
wa kijamiii wa Twitter wamechia picha zinazowaonyesha
wakiwa katika eneo lakusindika mafuta amabalo kwa mijibu ya post walizo weka
kupitia mtanado huo inaonyesha ni sehemu ya mpya ambayo wameanza kuwekeza hapo.



Post a Comment