Rais wa Malawi, Joyce Banda amechukizwa na kitendo cha mwanamuziki Madonna baada kusema kuwa atajenga
shule kujenga shule 10 zenye thamani ya paundi million 10 nchini humo lakin
badala yake mpaka sasa hajajenga shule hata moja.Madonna alianzisha mradi wa
Raising Malawi baada ya kuudopt(kuchukua mtoto amabe hajamzae nchini Malawi) mtoto
wake wa kiume David Banda mwaka 2006 na mtoto wa kike Mercy James mwaka 2009
nchini humo.
Rais huyu anazidi kungeza kuwa mwanamuziki huyo hakutimiza ahadi yake ya
kujenga shule ya wasichana kwa paundi milioni 10 na badala yake kuamua kujenga
shule 10 bila kuwataarifu maofisa.
Alisema: “Ziko wapi hizi shule 10 alizojenga?
“Sehemu zingine alikarabati tu majengo yaliyopo tayari.
Hakuna mtu anayetakiwa kuja hapa na kusema, ‘najenga madarasa bila kukaguliwa.
“Ni tusi kwa watu.”
Post a Comment