Ule msemo wa  true love never die utakuwa unawahusu sana Linah na Amin,ambao uchumba wao ulikuwa gumzo sana kwenye mitandao ya kijamii  baada ya kuvunjika miezi iliyopita na kila mmoja kuendelea na mahusiono mengine  ambapo inafahamika kuwa kuwa Linah ana mchumba wake na wataoana soon lakini siku za karibuni ukaribu wa hawa wawili(Linah&Amin) ulianza kurudi na hata kufanya wimbo wa kushirikiana uitwao mtima wange na baada ya Amin kulizwa na mtandao wa Teentz alikuwa na haya ya kuongea
"Linah tuko pamoja tena kaka na wasichokijua watu ni kwamba,wimbo wa Mtima wange tumeimbiana sisi wenyewe,so watu wafahamu kwamba we are together"alimaliza kufunguka mtu mzima amini na tulipomvutia waya Dada etu Linah,simu ilikuwa ikita tu pasipo kupokelewa.

Post a Comment

 
Top