Mwanazikia anayefanya vizuri kupitia muzikia wa bongofleva amabye leo ameachia single yake mpya ya kama zamani  Mwana FA hivi karibuni alipokea malipo ya miezi mitatu kutoka kampuni moja ya kuuza miito ya simu aka RBT yanayofikia shilingi za kitanzania milioni 18.


Mwana FA alizunguza hayo kwenye kipindi cha  XXL cha kupitia super brand Clouds FM, FA aliyekuwa wa tatu kati ya wasanii waliopata fedha nyingi zaidi kwenye malipo hayo chini ya Rose Mhando na Diamond, amesema ameamua kuweka wazi hilo ili watu waondoe imani kuwa muziki wa hip hop hauuzi.

 Mwana FA atakuwa na show yake aliyoipa jina, The Finest itakuyokuwa tarehe 31 mwezi huu 



Post a Comment

 
Top