Hili ndo kanisa la olasiti....Mlipuko ulipotokea mapema asubuhi
Hii ni sehemu ambayo mlipuko umetokea asubuhi katika kanisa la olasiti hapa arusha
Mt.meru hospital....Ndugu na jamaa wakiwa nje ya hospitali kusubili taarifa za waliojeruiwa katika mlipuko uliotokea mapema asubuhi kanisani olasiti
Poleni sana ndungu zetu ta TZ tunanyi kwa maombi.
ReplyDelete