Mwanamziki Rick Ross mwenye wa miaka 37 pamoja na mpenzi wake amabae wamekuwa kwenye uhusiano kwa zaidi ya miaka 5 ambae anajulikana kama Shateria L. Moragne-el amemvisha pete ya uchumba yenye thamani ya sh $500,000 sawa na Million Mia nane za kitanzania ambayo ni Diamond
Post a Comment