Baada ya kukaa kimya kwa kipindi kirefu sana, msanii wa long time Joslin aliyewahi kutamba na ngoma kali kama Niite basi na nyingine nyingi. Sasa ameamua kuja kivingine kabisa katika nyimbo hii mpya. Hebiu isikilize hapa chini, pia waweza kuidownload
Post a Comment