Dayn Naynge akipagawisha mashabiki ndani ya Nashera Hotel Moro jumaamosi iliyopita
   Jumaamosi iliyopita Ndani ya ukumbi wa Nashera Hotel Morogoro ilikuwa ndiyo siku ya kumpata Redss Miss Moro 2013 Ambapo mrembo Diana Laizer ndiye aliyelivaa taji hilo.
Dayna akiwa na mmoja wa wacheza show wake (wakali crasicc)
   Katika kinyang'anyilo hicho huku mashabiki wakisubiri matokeo mwana dada Dayna Nyange  aliendelea kuwaburudisha  kwa show kali na kuwaacha watu wakiwa hoi kwa kuvutiwa na show hiyo ambayo iliibua maswali mengi juu yao. 
Dayna akiimba unataka nini kwa hisia 
 
Diana Laizer miss Morogoro 2013

Post a Comment

 
Top