Msanii: Jay kar
Msanii: Sultani (ameshirikishwa)
---------------------------------------------
Msanii : Jaykar_Ft_Sultani wa Pwani
Ngoma : "KISIRANI"
Studio : THUNDERSOUND
Produser : Morbiz
---------------------------------------------
JAYKAR (Javis Karani Mwangu) RAPPER
mwenye umri wa miaka 19 kijana pekee katika
familia yao anapenda ku-share ikiwa ni sehemu ya kuwasiliana na mashabiki zake kwa burudani ya mziki wake unaogusa
uhalisia wa maisha ya vijana na jamii nzima.
KUHUSU MPANGO MZIMA WA
VIDEO UKO NJIANI KUKAMILISHWA KUWA
NA HAMU YAKUUPATA
Kwa sasa yeye yupo Kenya
kwasasa lakini anaomba support kwenu kuusikiliza
mziki wake na kuujali kwani anafanya mziki ambao ukiusikiliza
hubanduki ukauacha
Post a Comment