NOORAH AFUNGA NDOA HARUSI YAFANYIKA SHINYANGA CHEKI PICHA ZAKE HAPA A+ A- Print Email Msanii Noorah ameungana na wasanii wengine kuuaga ukapela na kuingia katika maisha ya ndoa.harusi ya Noorah yafanyika nyumbani kwa mkoani Shinyanga.wasanii wengine waliooa karibuni ni pamoja na Shettah, Black rhymo, H baba na wengineo..
Post a Comment